Ikiwa ni masaa machache kabla ya Obama kutua katika ardhi ya nchi hiyo, wanaume wawili wameibuka na kufunga ndoa hadharani kama ishara ya kufurahia ujio wa Obama lakini pia wakiamini kutasaidia kushinikiza serikali ya Kenya kuruhusu ndoa za jinsia moja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni